Micho aibukia Libya

Joel JJ By Joel JJ
β€’
9 Oct 2023
Micho aibukia Libya

Kocha wa zamani wa Yanga raia wa Srerbia Kocha Milutin Sredojevic 'Micho' ametangazwa kuwa kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Libya

Micho amejiunga na Libya akitokea timu ya Taifa ya Uganda 'Uganda Cranes'

Kocha huyo alishindwa kuisaidia Uganda kufuzu fainali za Afcon 2023 akishika nafasi ya tatu katika kundi H ambalo lilikuwa na Algeria, Tanzania na Niger

Hata hivyo Libya pia haikufuzu kwa Afcon 2023 ikishika nafasi ya nne kundi J ikikusanya alama nne kutoka mechi sita

ADVERTISE HERE

More Stories

NBC Premier League: Mechi mbili za kibabe kupigwa leo.

45m ago
READ MORE β†’
Wikiendi ya mechi kubwa inaendelea: Liverpool vs Arsenal na Napoli vs Juventus

1h ago
READ MORE β†’
De Klassiker hakuna mshindi, Bayern 2-2 Dortmund

14h ago
READ MORE β†’
Natumaini Caf itaidhinisha uhuru stadium kwa mechi za makundi : Wallace Karia

16h ago
READ MORE β†’
Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania

Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto

17h ago
READ MORE β†’
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo

Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea

18h ago
READ MORE β†’
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027

21h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto

23h ago
READ MORE β†’