Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Saimon Msuva amejiunga na JS Kabylie inayoshiriki ligi kuu ya Algeria
Msuva amesajiliwa na timu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili
Licha ya kupokea ofa kutoka timu za Tanzania, Msuva amekamilisha nia yake ya kuendelea kusakata kabumbu nje ya nchi
Kabylie wanajipanga upya msimu huu baada ya msimu uliopita kuponea chupuchupu kushuka daraja ligi kuu ya Algeria
ADVERTISE HERE