Tetesi za usajili Ulaya, Jumapili May 21 2023

Joel JJ By Joel JJ
β€’
21 May 2023
Tetesi za usajili Ulaya, Jumapili May 21 2023

Liverpool wanakaribia kufikia kabisa makubaliano kuhusu masharti ya mkataba na kiungo wa kati wa Briton, Alexis Mac Allister, 24, ingawa bado hawajasaini mkataba. (Fabrizio Romano)

Meneja wa Brighton Roberto de Zerbi ameiambia bodi ya klabu hiyo izuie kila dau kwa ajili ya winga wa Mjapan Kaoru Mitoma, 26, huku Mac Allister na kiungo wa kati wa Equador mwenye umri wa miaka 21- Moises Caicedo akiwa tayari amejiandaa kuondoka Seagulls msimu huu. (Football Insider)

Arsenal, Liverpool na Barcelona zina nia ya kumnunua kiungo wa kati wa Bayern Munich na Ujerumani, Joshua Kimmich, 28. (Marca - in Spanish)

Manchester City watatoa ofa ya kiungo wa kati wa Ujerumani Ilkay Gundogan, 32, ya mkataba mpya hadi mwezi Juni 2024 , mkataba ambao utakuwa na chaguo kwa ajili ya msimu zaidi, huku Barcelona wakiwa na nia naye. (Fabrizio Romano)

Meneja wa West Ham David Moyes anapanga kuondoka kaika klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu. (Football Insider)

Kiungo wa safu ya nyuma Manchester City na Ureno, Joao Cancelo anafuatiliwa kwa karibu na Barcelona, huku Bayern Munich wakiwa hawana uwezekano kabisa wa kurefusha zaidi mkatana wa mkopo na kijana huyo mwenye umri wa miaka 28. (Mundo Deportivo - in Spanish)

Hatahivyo, City wanafikiria kufanya mkataba wa kubadilishana wachezaji na Bayern Munich kwa ajili ya Kimmich ambao utairuhusu klanu hiyo kubwa katika Bundesliga giants kuendelea kuwa na Cancelo. (Mirror)

Newcastle United wako mbele katika kinyang’anyoro cha kusaini mkataba na mlinzi wa Arsenal na Uskochi Kieran Tierney, 25, msimu huu, huku Manchester City na Aston Villa pia wakimtaka . (Football Insider)

Chelsea inataka kumhamisha msimu huu mlindalango wa Brentford na Uhispania David Raya, 27,ambaye anathamanishwa kwa karibu pauni milioni 40. (Givemesport)

West Ham wako tayari kumuacha mshambuliaji Muitalia Gianluca Scamacca arejee katika Serie A mwaka mmoja tu baada ya kujiunga na Sassuolo, huku AC Milan wakimfuatilia kwa karibu kijana huyo mwenye umri wa miaka 24. (Gazzetta dello Sport - in Italian)

BBC

ADVERTISE HERE

More Stories

Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
24m ago
READ MORE β†’
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
1h ago
READ MORE β†’
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
1h ago
READ MORE β†’
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
4h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
6h ago
READ MORE β†’
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
7h ago
READ MORE β†’
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
7h ago
READ MORE β†’
Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka
Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka
9h ago
READ MORE β†’
Jeraha la Kariakoo derby lamuondoa Duke Abuya Harambee stars
Jeraha la Kariakoo derby lamuondoa Duke Abuya Harambee stars
10h ago
READ MORE β†’
CAF yamchagua Arajiga miongoni mwa waamuzi 35 kupata mafunzo maalum Cairo
CAF yamchagua Arajiga miongoni mwa waamuzi 35 kupata mafunzo maalum Cairo
10h ago
READ MORE β†’