Julio kuisuka upya KMC

Joel JJ By Joel JJ
β€’
14 May 2023
Julio kuisuka upya KMC

Baada ya kuinusuru KMC kushuka daraja, Kocha Mkuu wa timu hiyo Jamhuri Kihwelo 'Julio' amesema tayari ameanza mikakati ya kukisuka upya kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao

Juluio ameeleza kuwa anachotaka ni kuona msimu ujao timu hiyo inakuwa tishio na kuwa miongoni mwa timu zinazowania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara

"Kazi yangu kubwa ilikuwa ni kuinusuri timu isishuke daraja nashukuru tumefanikiwa kwani tumeondoka katika janga hilo kwa sasa tunapambana tushinde mechi zetu mbili zilizobaki ili tusicheze Play- Offs"

"Kama mkuu wa benchi la ufundi nimeshaanza kujenga KMC ya msimu ujao kwa kusajili wachezaji wenye viwango bora hilo linawekana sababu hii ni timu inayojiweza," amesema Julio

Mwishoni mwa wiki iliyopita KMC, iliifunga Singida Big Stars mabao 2-0, katika mchezo uliopigwa uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, matokeo ambayo yaliiweka sehemu salama timu hiyo huku ikisaliwa na michezo miwili kabla msimu huu kumalizika.

ADVERTISE HERE

More Stories

Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
8m ago
READ MORE β†’
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
1h ago
READ MORE β†’
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
3h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
5h ago
READ MORE β†’
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
6h ago
READ MORE β†’
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
6h ago
READ MORE β†’
Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka
Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka
8h ago
READ MORE β†’
Jeraha la Kariakoo derby lamuondoa Duke Abuya Harambee stars
Jeraha la Kariakoo derby lamuondoa Duke Abuya Harambee stars
9h ago
READ MORE β†’
CAF yamchagua Arajiga miongoni mwa waamuzi 35 kupata mafunzo maalum Cairo
CAF yamchagua Arajiga miongoni mwa waamuzi 35 kupata mafunzo maalum Cairo
9h ago
READ MORE β†’
Hoja tano zinazoweza kuboresha tuzo ya Ballon d’Or
Hoja tano zinazoweza kuboresha tuzo ya Ballon d’Or
21h ago
READ MORE β†’