Mshambuliaji wa Brentford matatani Uingereza

Joel JJ By Joel JJ
β€’
1 Mar 2023
Mshambuliaji wa Brentford matatani Uingereza

Mshambuliaji wa Brentford, Ivan Toney amekutwa na hatia ya makosa zaidi ya 230 ikiwemo ukiukaji wa sheria za Kamari za FA

Pamoja na makosa mengine Toney alituhumiwa kushiriki ubashiri mechi za soka kati ya mwaka 2017 mpaka 2021 huku FA ikiongeza mashtaka mengine 30 ambayo yalifanyika kati ya 2017 na 2019.

Toney raia wa Uingereza amekiri makosa hayo na anatarajiwa kutozwa faini na kufungiwa kucheza soka kwa miezi kuanzia minne na kuendelea kabla ya mwisho wa msimu huu

Adhabu hiyo ya Toney huenda ikamkosesha nafasi ya kuitwa kwenye timu ya Taifa England kwa ajili ya michezo ya kufuzu mashindano ya Ulaya dhidi ya Italia na Ukraine

ADVERTISE HERE

More Stories

Tunakwenda kucheza na timu mzito na ngumu: Juma Mgunda

6m ago
READ MORE β†’
Jack Grealish aingia matatani Everton baada ya kuripotiwa kula bata siku mbili mfululizo

19m ago
READ MORE β†’
NBC Premier League: Mechi mbili za kibabe kupigwa leo.

1h ago
READ MORE β†’
Wikiendi ya mechi kubwa inaendelea: Liverpool vs Arsenal na Napoli vs Juventus

2h ago
READ MORE β†’
De Klassiker hakuna mshindi, Bayern 2-2 Dortmund

15h ago
READ MORE β†’
Natumaini Caf itaidhinisha uhuru stadium kwa mechi za makundi : Wallace Karia

16h ago
READ MORE β†’
Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania

17h ago
READ MORE β†’
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto

18h ago
READ MORE β†’
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo

Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea

19h ago
READ MORE β†’