Manchester City matatani Uingereza

Joel JJ By Joel JJ
β€’
6 Feb 2023
Manchester City matatani Uingereza

Ligi Kuu ya Uingereza imeishtaki Manchester City kwa ukiukaji zaidi sheria zake 100 za kifedha kufuatia uchunguzi wa miaka minne.

PL imeipeleka klabu hiyo kwa tume huru kwa madai ya kukiuka kanuni kati ya 2009 na 2018

Pia City inashutumiwa kwa kutotoa ushirikiano tangu uchunguzi uanze mnamo Desemba 2018.

Kama City itapatikana na hatia, tume inaweza kutoa adhabu kuanzia faini na kukatwa pointi au hata kuondolewa kwenye Ligi Kuu

Manchester City imekana tuhuma zote dhidi yake, ikidai iko tayari kwa mapitio ya suala hilo kutoka kwa Tume Huru

"Klabu inakaribisha mapitio ya suala hili na tume huru, kwa kuzingatia haki, tunao ushahidi usio na shaka," ilisema sehemu ya taarifa ya Man City

ADVERTISE HERE

More Stories

Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
21m ago
READ MORE β†’
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
1h ago
READ MORE β†’
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
1h ago
READ MORE β†’
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
4h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
6h ago
READ MORE β†’
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
7h ago
READ MORE β†’
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
7h ago
READ MORE β†’
Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka
Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka
9h ago
READ MORE β†’
Jeraha la Kariakoo derby lamuondoa Duke Abuya Harambee stars
Jeraha la Kariakoo derby lamuondoa Duke Abuya Harambee stars
10h ago
READ MORE β†’
CAF yamchagua Arajiga miongoni mwa waamuzi 35 kupata mafunzo maalum Cairo
CAF yamchagua Arajiga miongoni mwa waamuzi 35 kupata mafunzo maalum Cairo
10h ago
READ MORE β†’