Mkude aikosa Njombe Mji

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Apr 2018
Mkude aikosa Njombe Mji
Kiungo mahiri wa Simba Jonas Mkude hatakuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kinachoivaa Njombe Mji leo imefahamika.

Licha ya kuanza mazoezi, imeelezwa Mkude bado hayuko fiti kuweza kuhimili mikiki mikiki ya mchezo huo ambao Simba inahitaji ushindi ili iweze kujiimarisha kileleni kwa tofauti ya alama tatu dhidi ya mahasimu wao Yanga.

Baada ya mchezo huo Simba itasafiri kwenda mkoani Morogoro kuikabili Mtibwa Sugar, April 09.

Mkude huenda akawa amepona na kuweza kuwakabili wakata miwa hao wa Mtibwa.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
52m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
2h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’