Kikosi cha Simba tayari kiko mkoani Njombe ambapo leo kimefanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Sabasaba labla ya mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya njombe Mji kesho.
Kikosi cha Simba kilitua Njombe mapema jana kikitokea mkoani Iringa ambako kiliweka kambi ya siku mbili.
Kiungo Jonas Mkude ambaye alianza mazoezi mepesi jana, ni miongoni mwa wachezaji waliofanya mazoezi kikamilifu leo.
Kwenye mchezo wa kesho kikosi cha Simba kinatarajiwa kuongozwa na vinara wake wa mabao Emanuel Okwi na John Bocco.

ADVERTISE HERE