Nahodha wa Simba John Bocco amejiengua kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kinachotarajia kucheza michezo ya kirafiki dhidi ya Algeria na DRC Congo.
Bocco amechukua uamuzi huo ili kupata muda wa kutosha kutibu majeraha yake ya kifundo cha mguu.
Bocco ambaye alikuwa kwenye kikosi cha Simba kilichotoka suluhu ya 0-0 na Al Masry jana, amesema licha ya kurejea dimbani bado amekuwa akisikia maumivu katika mguu wake.
Kaimu Rais wa Simba Salim Abdallah amesema Bocco anahitaji matibabu zaidi na atayaanza mara moja Simba itakaporejea jijini Dar es salaam kutoka Misri

ADVERTISE HERE