Wakati mashindano ya Kombe la Mapinduzi ya Zanzibar yakitarajiwa kuanza kutimua vumbi rasmi tarehe 30 ya mwezi Desemba, ratiba ya michuano hiyo imetoka ambayo inajumuisha jumla ya timu 10 zitakazoshiriki ambazo zimegawanywa katika makundi mawili ya A na B.
Yanga ambayo ilitolewa hatua ya nusu fainali kwenye michuano iliyopita, imepangwa kundi B pamoja na timu za Zimamoto, Mlandege, Shaba na JKU.
Yanga ina nafasi ya kusonga mbele katika kundi hilo
Katika kundi A, kuna timu za Simba SC, Azam FC, URA, Jamhuri na Taifa JangΓ’β¬β’ombe.
Yanga SC itashuka dimbani Januari 1 mwaka 2018 katika mchezo wao wa kwanza dhidi ya JKU kisha kuikabili timu ya Shaba Januari 3 katika mchezo wake wa pili wa kundi hilo.

ADVERTISE HERE