Muda mchache ujao Wekundu wa Msimbazi Simba watashuka kwenye dimba la Uhuru kuchuana na Mtibwa Sugar.
Mchezo huo unatarajiwa kuwa na upinzani mkali kutokana na uimara wa timu zote.
Simba inahitaji ushindi au sare kurejea kileleni mwa msimamo wa ligi.

ADVERTISE HERE