Malinzi, Mwesigwa wakosa dhamana

Admin By Admin
β€’
3 Jul 2017
Malinzi, Mwesigwa wakosa dhamana
Kesi ya matumizi mabaya ya ofisi na utakatishaji wa fedha inayowakabili Rais wa TFF Jamal Malinzi na Katibu Mkuu Celestine Mwesigwa imeendelea leo July 03 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es salaam.

Mawakili wa utetezi waliomba Mahakama iwapatie dhamana wateja wao sambamba na kuanza kusikiliza kesi zinazowakabili.

Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, Wilbard Mashauri alisema upande wa utetezi wenyewe wanatambua kuwa mashitaka ya utakatishaji fedha hayana dhamana.

Hivyo kesi hiyo itaanza kusikilizwa Julai 17 na watuhumiwa wamerejeshwa rumande hadi siku hiyo kesi itakapoanza kusikilizwa.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
10h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’