Manara atimiza ahadi kwa Mzee Mpili

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Jul 2021
Manara atimiza ahadi kwa Mzee Mpili

Mkuu wa kitengo cha Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Haji Manara, jana alikamilisha ahadi yake kwa kumkabidhi Tsh Milioni 1 Mzee Mpili, Mwanachama wa klabu ya Yanga

Ni ahadi ambayo aliitoa kabla ya mchezo wa watani wa jadi kuwa angempa fedha hizo kama Yanga itaifunga Simba

Mzee alitamba kuwa timu yake itashinda na walifanikiwa kushinda

Huu ndio utani wa jadi sasa, Manara ni mwalimu mzuri sana kwa wale wanaodhani kuna uhasama kati ya timu hizi mbili

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’