Mashabiki waitwa kwa Mkapa 'kuimaliza' KMC

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Jul 2021
Mashabiki waitwa kwa Mkapa 'kuimaliza' KMC

Mashabiki wa klabu ya Simba wameaswa kujikozea kwa wingi uwanja wa Benjamin Mkapa leo kuiunga mkono timu yao katka mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC

Mchezo huo muhimu kwa Simba, utapigwa kuanzia saa moja usiku

Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amesema wao viongozi, kama ilivyo kwa mashabiki, hawakufurahishwa na matokeo ya kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Yanga

Hata hivyo amesema leo wana nafasi ya kusahihisha makosa na muhimu zaidi ni kuwa kama watapata ushindi basi wataweza kutwaa ubingwa

"Ni muhimu kwa mashabiki wetu kujitokeza kwa wingi kutuunga mkono. Tusahau yaliyopita, tunachohitaji sasa na kushinda mchezo dhidi ya KMC ili tuweze kuwa mabingwa"

"Tumefanya maandalizi ya kutosha, wachezaji wote wako tayari kwa mchezo, tumejiandaa kushinda" alisema Rweyemamu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’