Mashabiki wakumbushwa kuvaa barakoa kwa Mkapa leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Jul 2021
Mashabiki wakumbushwa kuvaa barakoa kwa Mkapa leo

Mashabiki watakaohudhuria mechi ya Ligi Kuu ya watani wa jadi Simba na Yanga leo Julai 3 Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam wametakiwa kutakasa mikono yao kabla ya kuingia uwanjani na kuvaa barakoa kuepuka maambukizi ya corona.

Bodi ya Ligi kuu Tanzania (TPLB) imesisitiza kuwa mashabiki na wadau wote watatakiwa kuhakikisha wanatakasa mikono yao kabla ya kuingia uwanjani na kuvaa barakoa wakati wote wawapo uwanjani kujinga dhidi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19.

Aidha Bodi imewakumbusha mashabiki na wadau wote wa mpira wa miguu wanaohudhuria viwanjani kwenye michezo ya ligi kuu Tanzania Bara kuendelea kuchukua tahadhari na kufuata taratibu zote za kijilinda dhidi ya maambukizi ya virusi vya kcorona.

Katika hatua nyingine Bodi ya Ligi imesema mabasbiki wote walikata tiketi kwa ajili ya mchezo wa awali Simba na Yanga ulioahirishwa Mei 8 tiketi zao zimerejeshwa kwenye kadi zao (N-CARD)

Mashabiki hao watazitumia tiketi hizo kuingia uwanjani kwenye mchezo wa Julai 3 katika madaraja waliyolipia hapo awali.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’