Senzo bado anawatesa Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Aug 2020
Senzo bado anawatesa Simba

Bado jinamizi la kuondoka kwa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Simba Senzo Mazingisa kujiunga na Yanga limeendelea kuwatesa Simba baada ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi klabu hiyo Mohammed Dewji kudai aliondoka na nyaraka zao muhimu

Katika mahojiano na redio Wasafi mapema leo, Mo amedai walikuwa katika mpango wa kumuondoa baada ya kushindwa kutimiza majukumu yake

Hata hivyo akaenda mbali zaidi kwa kudai ameondoka na nyaraka zao muhimu kuwapelekea Yanga

Senzo alishawakabidhi Simba ofisi yao akifuata taratibu zote lakini bado Wanamsimbazi hao wameendelea kumuhofia

Je ni nyaraka gani hizo ambazo zinamfanya Bosi wa Simba akose Amani...?

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
7h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
11h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
12h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
12h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’