Simba imekamilisha usajili wa wachezaji watatu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Jun 2021
Simba imekamilisha usajili wa wachezaji watatu

Wakati akizungumza kwenye Mkutano na Wanahabari uliofanyika Serena Hotel mapema leo, Afisa Habari wa klabu ya Simba Haji Manara alidokeza kuwa tayari wamekamilisha usajili wa wachezaji watatu ambao wanasubiri kutangazwa wakati mwafaka utakapofika

Aidha Manara amesema kwa sasa Simba imeshatoka katika utamaduni wa miaka ya nyuma ambapo kwa sasa usajili wao si kila mmoja anaweza kufahamu mpaka pale watakapotangaza

"Tumejiwekea wigo hivi, tumekubaliana na bosi wetu kuwa hili letu. Baadhi yenu (Wanahabari) mmeshazoea habari za udaku sasa kwa kuwa hamzipati kutoka kwetu mmeanza kujenga 'bifu' dhidi yetu. Mimi kama Msemaji wa klabu ya Simba nina wajibu la kuilinda taaluma yangu kama mfanyavyo nyie"

"Simba nakwambia tumeshasajili wachezaji watatu, nawaibia hiyo siri lakini hakuna anayejua kati yenu, hamtajua mpaka siku tutakapotangaza.

"Tumekubaliana na tunafanya hivyo huu ni mwaka wa pili usajili wetu hauvuji," alisema Manara

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’