Kiungo Petro Atletico atajwa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Aug 2020
Kiungo Petro Atletico atajwa Yanga

Kulingana na mwandishi maarufu wa habari za Michezo Barani Afrika ambaye ameweka makazi yake kule nchini Ghana, Nuhu Adams, mabingwa wa kihistoria Tanzania Yanga wanakaribia kukamilisha usajili wa kiungo wa Kimataifa wa Angola Herenilson Cifalo do Cormo anayechezea klabu ya Petro Atletico

Huyu ni mchezaji wa pili kutoka nchini Angola anahusishwa na Yanga baada ya Carlinhos

Mapema leo Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Said alithibitisha klabu ya Yanga kuwa kwenye mchakato wa kukamilisha usajili wa nyota kutoka Angola ambaye hakumtaja jina kwa kuwa usajili wake ulikuwa bado haujakamilika

Nyota wote hawa wanacheza timu za Taifa na wachezaji muhimu katika timu zao

Kwa hakika Yanga inasukwa upya...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
43m ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
12h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
16h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
20h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
21h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’