Hii ni kama fainali kwetu - Gomes

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Jun 2021
Hii ni kama fainali kwetu - Gomes

Wikiendi ya wiki hii, siku ya Jumamosi, Julai 03 mashabiki wa Simba wanaweza kuanza shamrashamra za ubingwa wa nne mfululizo pale uwanja wa Benjamin Mkapa

Ni katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya watani zao Yanga ambao utapigwa kuanzia saa 11 jioni

Huu ni mchezo ambao sio tu ushindi utawapa Simba ubingwa, lakini ni mchezo ambao ubingwa unaweza kuwa mtamuuu kwa kuwa umepatikana dhidi ya mtani

Ndio maana kocha mkuu wa mabingwa wa nchi Didier Gomes amesema mchezo huo ni fainali kwa Simba

Pamoja na kutambua kuwa mchezo hautakuwa mwepesi, Gomes amesisitiza Simba inahitaji kushinda, na wanajipanga kuhakikisha wanapata ushindi

"Nafahamu katika soka lolote linaweza kutokea, lakini nikwambie vijana wangu wako imara, tunatakiwa kupambana kuhakikisha tunatangaza ubingwa katika mchezo huo ambao utakuwa wa ushindani mkubwa"

"Ninawaamini wachezaji wangu watafanya yale ya mazoezini, huu ni mchezo muhimu sana kwetu," alisema Gomes

Aidha kocha huyo raia wa Ufaransa amesema mshambuliaji Chris Mugalu amepona majeraha na wamempa program maalum. Anaweza kuwa tayari kushiriki mchezo wa Jumamosi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’