FT : Simba 4-1 Mbeya City

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Jun 2021
FT : Simba 4-1 Mbeya City

Mnyama amerejea nyumbani leo na kuwapa furaha mashabiki wake baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Mbeya City

Ulikuwa mwendelezo wa ligi kuu ya Vodacom, Simba ikiendelea kukamilisha hesabu zake za ubingwa wa nne mfululizo

Zilikuwa dakika 90 za burudani, Larry Bwalya, Luis Miquissone, John Bocco na muhimu zaidi Clatous Chama akifunga bao muhimu lililowapa furaha mashabiki wa Simba

Chama alitua juzi kutoka Zambia ambako alipata msiba wa kufiwa na mkewe

Kurejea na kushiriki mchezo na kufunga bao lilikuwa jambo la kufurahisha zaidi katika mchezo huo

Ni ushindi ulioifanya Simba ifikishe alama 73 sasa ikihitaji alama tatu tu kushinda ubingwa

Alama hizo tatu wanazo Yanga, Julai 03 lazima watazitoaaaaa...!

Highlights za mabao yote

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’