Mashabiki wa klabu ya Simba wameaswa kuchangamkia tiketi ili wajitokeze kwa wingi uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia burudani ya kibabe kutoka kwa kikosi chao jioni ya leo
Tiketi zinapatikana Makao Makuu ya Simba, Msimbazi na Uwanja wa Benjamin Mkapa
Lakini pia unaweza kujipatia tiketi yako kwa urahisi kabisa kupitia mitandao ya simu
Simba inarejea Dar kuwapa furaha mashabiki wake baada ya kukosekana kwa takribani mwezi mmoja
Ni mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbeya City ambao matokeo ya ushindi yataifanya Simba ihitaji alama nyingine tatu tu kutangaza ubingwa
ADVERTISE HERE