Beki kisiki Bakari Nondo Mwamnyeto ni miongoni mwa wachezaji walioanza mazoezi kwenye kikosi cha Yanga
Mwamnyeto ametua Yanga akitokea klabu ya Coastal Union akisaini mkataba wa miaka miwili
Huyu amekuja kuimarisha safu ya ulinzi akiungana na Lamine Moro, Said Juma Makapu na Abdallah Shaibu 'Ninja' ambaye pia amerejea Yanga dirisha hili la usajili
Mabingwa hao wa kihistoria wanajifua kuelekea tukio kubwa la Wiki ya Mwananchi ambalo linazinduliwa rasmi mkoani Dodoma keshokutwa Jumamosi
ADVERTISE HERE