Mabingwa wa nchi Simba wamerejea salama jijini Dar es salaam wakitokea mkoani Mwanza ambako jana walishinda bao 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania
Simba imerejea kujiandaa na mchezo unaofuata dhidi ya Mbeya City ambao utapigwa keshokutwa Jumanne katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Simba imekaribia kushinda ubingwa, wakisaka alama sita tu kutoka mechi sita
ADVERTISE HERE