Sakata la Winga Bernard Morrison limeshindwa kupatiwa ufumbuzi kwa siku ya pili baada ya hukumu kuahirishwa kusomwa
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji TFF, Elias Mwanjala, amesema baadhi ya nyaraka hazijakamilika mpaka kesho saa 2:00 asubuhi
Kikao kitaendelea kesho saa 4:00 asubuhi na ifikapo majira ya 7:00 mchana, kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF, itatangaza maamuzi rasmi juu ya shauri hilo
ADVERTISE HERE