Kituo kinachofuata ni Mbeya City

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Jun 2021
Kituo kinachofuata ni Mbeya City

Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania hapo jana, mabingwa wa nchi Simba wanarejea jijini Dar es salaam kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbeya City ambao utapigwa keshokutwa Jumanne katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Simba imefikisha alama 70 baada ya kushuka dimbani mara 28. Wababe hao wa soka Tanzania wanahitaji alama nyingine sita tu kutangaza ubingwa

Ushindi dhidi ya Mbeya City utarahisisha kazi zaidi. Mchezo utakaofuata kwenye ligi ni dhidi ya Yanga, Julai 03

Mnyama anaweza kutangaza ubingwa kupitia mchezo huu akihitaji ushindi au matokeo ya sare

Kabla ya mchezo wa Yanga, Juni 26 Simba itasafiri Songea kwa ajili ya mchezo wa nusu fainali kombe la FA dhidi ya Azam Fc

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
5h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
11h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
14h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’