Vijana wa Simba U20 wamefanikiwa kumaliza kwenye nafasi ya tatu ligi kuu ya vijana baada ya ushindi wa mikwaju ya penati 4-1 dhidi ya Azam Fc
Mchezo huo ulimalizika dakika 90 kwa matokeo ya sare ya bao 1-1 na hivyo moja kwa moja mshindi kuamuliwa kwa changamoto ya mikwaju ya penati
Baada ya kukosa kutinga fainali, huu ulikuwa mchezo ambao vijana wa kocha Kiondo walihitaji kushinda
ADVERTISE HERE