Bocco afunga Tanzania ikiichapa Malawi 2-0

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Jun 2021
Bocco afunga Tanzania ikiichapa Malawi 2-0

Nahodha John Bocco leo ameisaidia Tanzania kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Malawi katika mchezo wa KImataifa wa kirafiki ambao uko kwenye kalenda ya FIFA

Akipewa majukumu ya kuiongoza Tanzania akiwa nahodha leo, Bocco alifunga bao la kwanza kwenye dakika ya 68 akimalizia pasi murua ya Kibu Benis

Kibu alitumia makosa yaliyofanywa na safu ya ulinzi ya Malawi kabla ya kumtengea Bocco pasi murua

Bao la pili lilifungwa na Isarael Patrick Mwenda kwa mpira wa adhabu baada ya Kibu kufanyiwa madhambi katika eneo la hatari

Mwenda aliyeingia kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Shomari Kapombe, alifunga bao lake la kwanza katika mchezo wa kwanza kuitumikia Tanzania

Ushindi ni matokeo yatakayoinufaisha Tanzania kwenye viwango vya FIFA

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
5h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
11h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
14h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’