Zoezi la kuchukua na kurudisha fomu kuelekea uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) , limehitimishwa leo majira ya saa kumi kamili jioni
Kati ya wagombea 10 waliojitokeza kuchukua fomu kuwania Urais, ni wagombea sita tu waliofanikiwa kurudisha fomu

ADVERTISE HERE