Uongozi wa klabu ya Yanga umetangaza kukamilisha usajili wa beki Abdallah Shaibu 'Ninja'
Ninja amesaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia mabingwa hao wa kihistoria

Ninja ni kama amerejea nyumbani, aliondoka msimu uliopita kwenda kujaribu bahati yake kule nchini Marekani katika klabu ya LA Galaxy
Karibu nyumbani Ninja..!
ADVERTISE HERE