Chama atahitaji msaada wa kisaikolojia - Zrane

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Jun 2021
Chama atahitaji msaada wa kisaikolojia - Zrane

Tukio la kumpoteza Mama wa watoto wake ni wazi limemuumiza sana kiungo wa Simba Clatous Chama

Chama anatarajiwa kuandaliwa program maalum itakayomfanya arejee vyema katika majukumu yake

Wakati mwingine anaweza kuhitaji muda na usaidizi wa kisaikolojia kuweza kuwa sawa

Kocha wa viungo Adel Zrane amesema Chama anahitaji kusaidiwa kisaikolojia ili asiathiriwe na msiba huo mkubwa alioupata

"Unajua utimamu wa saikolojia ni muhimu sana kwa mchezaji ili aweze kufanya vizuri, mchezaji anaweza kuandaliwa katika kila eneo lakini kama saikolojia yake haitakuwa sawa basi hawezi kufanya vizuri"

"Kama kikosi tumesikitishwa sana na tukio la Chama kumpoteza mke wake, ni jambo gumu na tayari kama benchi la ufundi tumeandaa programu maalum ya kumjenga kiakili na kimwili ili kumsaidia arejee katika kiwango chake pale atakapojiunga na kikosi," alisema Adel

Uongozi wa Simba umempa Chama mapumziko aweze kuomboleza msiba huo kabla hajarejea nchini kuendelea na majukumu yake

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’