Maandalizi ya kuikabili Polisi Tanzania

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Jun 2021
Maandalizi ya kuikabili Polisi Tanzania

Mabingwa watetezi ligi kuu ya Tanzania Bara, Simba Sc walirejea kambini juzi kuendelea na maandalizi ya michezo ya lala salama ligi na kombe la FA

Mabingwa hao wa nchi wanahitaji kushinda michezo mitatu kati ya saba iliyobaki ili kushinda ubingwa wa nne mfululizo

Mazoezi yanafanyika chini ya usimamizi wa kocha wa viungo Adel Zrane

Hata hivyo Simba inajifua bila ya nyota wake 10 ambao wanakabiliwa na majukumu ya timu za Taifa

mchezo unaofuata ni dhidi ya Polisi Tanzania ambao utapigwa Juni 19 katika uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’