Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi klabu ya Yanga Dominic Albinus amewahakikishia Wanayanga kuwa baada ya machungu ya misimu mitatu, muda wa furaha kwao umewadia
Akizungumza kuelekea tukio kubwa la wiki ya Mwananchi, Albinus amesema wamejipanga sawasawa akiwataka mashabiki wajiandae kwani muda wa maumivu sasa basi
Katika mahojiano na Yanga TV, kipindi ambacho kitarushwa kesho Ijumaa, Albinus pia alidokeza tetesi za ujio wa mshambuliaji Heritier Makambo
"Makambo aka Makambovic... labda niwaambie Wanayanga kuwa muda wa maumivu sasa basi, tujiandae furaha inarudi nyumbani.."
ADVERTISE HERE