Mkude bado mambo magumu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Jun 2021
Mkude bado mambo magumu

Jana Kamati ya Nidhamu ilitarajiwa kutoa taarifa kuhusu tuhuma za utovu wa nidhamu zinazomkabili kiungo Jonas Mkude

Hata hivyo Kamati hiyo haikutoa taarifa yake huku uongozi wa klabu ya Simba ukitaja sababu ya taarifa hiyo kutoweka hadharani

Kulingana na taarifa iliyotolewa na klabu ya Simba, Mkude anakabiliwa na tuhuma mbili, hakuripoti kambini pamoja na kutohudhuria mazoezi May 18 2021

Kutokana na kiungo huyo kuwa na makosa ya kujirudia rudia, Kamati ya Nidhamu imependekeza akafanyiwe vipimo vya Afya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili

Baada ya kufanyiwa vipimo na kupata taarifa ya kitabibu, Kamati itaketi kupitia taarifa na kutoa uamuzi wa mwisho

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
13h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
19h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’