Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeweka hadharani majina ya nyota wanaowania tuzo za VPL msimu 2019/20
Kiungo wa Yanga Mapinduzi Balama amejumuishwa katika orodha hiyo akiwania tuzo ya kiungo bora wa msimu
Aidha beki mpya wa mabingwa hao wa kihistoria Bakari Nondo Mwamnyeto yeye anawania tuzo ya beki bora pamoja na mchezaji bora wa msimu

ADVERTISE HERE