TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Makocha Hossam Hassan wa Timu ya Al-Masry na Pierre Lechantre wa Simba leo saa tano asubuhi watazungumza na Wanahabari Kuelekea mchezo wao wa kombe la Shirikisho utakaopigwa siku ya Jumatano ya tarehe saba mwezi huu.
Aidha, kutokana na utaratibu uliowekwa na TFF mkutano huo utafanyika kwenye ofisi za TFF Karume jijini Dar es salaam
Wakati huo huo Waziri wa kilimo wa Serekali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Charles Tizeba anatarajiwa kuongoza maelfu ya wanasimba na watanzania kuishangilia Simba kwenye mchezo huo utakaoanza saa kumi na mbili jioni.
Mh Tizeba ndio mgeni rasmi katika mchezo huo ambao utachezeshwa na Waamuzi toka nchini Afrika kusini.
IMETOLEWA NA
HAJI S MANARA
MKUU WA HABARI
SIMBA SC
SIMBA NGUVU MOJA

ADVERTISE HERE