Kikosi cha Kilimanjaro Stars kitakachoshiriki michuano ya Chalenji

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Nov 2017
Kikosi cha Kilimanjaro Stars kitakachoshiriki michuano ya Chalenji
Kocha mkuu wa kikosi maalumu cha timu ya Taifa ya Tanzania kitakachoshiriki michuano ya Chalenji Ammy Ninje leo ametaja majina 20 ya wachezaji wanaounda kikosi cha timu iyo.

Kikosi hicho kitaingia kambini Novemba 27 kujiandaa na michuano hiyo inayotarajiwa kuanza Desemba 3 hadi 17 mwaka huu nchini Kenya.

Kikosi hicho kinaundwa na makipa, Aishi Manula na Peter Manyika,wakati walinzi ni Boniphace Maganga, Gadiel Michael, Kevin Yondan na Erasto Nyoni.

Wengine ni Mohhamed Husein na Kennedy Wilson.

Viungo ni Himid Mao, Hamis Abdallah, Mzamiru Yassin na Rafael Daudi.

Wengine ni Jonas Mkude, Shiza Kichuya, Ibrahim Ajib na Abdul Hilal.

Washambuliaji ni Elias Maguli, Mbaraka Yusuph, Yohana Mkomola na Daniel Lyanga.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’