Simba dimbani leo dhidi ya Dodoma Jiji

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 May 2021
Simba dimbani leo dhidi ya Dodoma Jiji

Kikosi cha Simba kimerejea kwenye mashindano ya ndani wakihitaji kutetea mataji yote waliyotwaa msimu uliopita

Ni baada ya jitihada za michuano ya ligi ya mabingwa kufikia tamati katika hatua ya robo fainali mwishoni mwa wiki iliyopita

Simba leo itashuka uwanja wa Benjamin Mkaba kuikabili Dodoma Jiji katika mchezo wa robo fainali michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)

Mchezo utapigwa kuanzia saa moja usiku

Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amesema wanarejea uwanjani leo wakiwa na malengo na wataendeleza kasi ileile waliyokuwa nayo katika michuano ya ligi ya mabingwa

Huu utakuwa mchezo wa kwanza baada ya Simba kuondoshwa katika michuano ya ligi ya mabingwa

Ni mchezo ambao wachezaji wa Simba watautumia kuwafuta machozi mashabiki wao

Pia ni mchezo ambao kocha Didier Gomes anaweza kuwapa nafasi wachezaji wengine ambao hawakuwa na nafasi au mwendelezo mzuri katika kikosi cha kwanza

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
20m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
21h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’