Lwanga, Onyango warejea kikosini

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 May 2021
Lwanga, Onyango warejea kikosini

Habari njema kwa Wanamsimbazi ni kurejea kikosini kwa wachezaji Joash Onyango na Taddeo Lwanga waliopata majaeraha kwenye mchezo wa robo fainali michuano ya ligi ya mabingwa dhidi ya Kaizer Chiefs mwishoni mwa wiki

Taarifa iliyotolewa na Simba imebainisha kuwa hali za wachezaji hao zimeimarika

Tayari wameanza mazoezi na wenzao kuelekea mchezo wa robo fainali kombe la FA dhidi ya Dodoma Jiji utakaopigwa kesho Jumatano katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Daktari wa Simba, Yassin Gembe amesema hali za nyota hao zinaendelea vizuri ndiyo maana ameruhusu kufanya mazoezi ingawa wanaendelea kuwa chini ya uangalizi wa madaktari.

"Onyango na Taddeo wameanza mazoezi na wenzao leo hali zao zinaendelea vizuri kabisa lakini tunaendelea kuwaweka chini ya uangalizi wa madaktari ili wasipate maumivu mengine,” am Dk. Gembe aliiambia tovuti ya Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
5h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
11h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
14h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’