Kikosi cha Yanga leo kimekamilisha maandalizi yake ya mwisho kuelekea mchezo wa kumaliza msimu wa ligi kuu dhidi ya Lipuli Fc
Mchezo huo utapigwa kesho Jumapili kwenye uwanja wa Samora
Mabingwa hao wa kihistoria, leo walifanya mazoezi yao ya mwisho katika uwanja huo

ADVERTISE HERE