Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kiungo mshambuliaji Bernard Morrison
Licha ya kutokuwa na nafasi ya mara kwa mara katika kikosi cha kwanza, Morrison ni kipenzi cha mashabiki wa Simba kwani kazi yake huifanya vyema awapo uwanjani
Bila shaka atakuwa sehemu ya kikosi kitakachoikabili Kaizer Chiefs kweshokutwa Jumamosi kwenye mchezo wa mkondo wa pili robo fainali ya ligi ya mabingwa
Ni mechi ambayo Simba inawahitaji wachezaji aina yake wanaoweza kulazimisha pale mambo yanapokuwa magumu
Tumtakie kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu muhimu kwake
Happy Birthday Morrison...!
ADVERTISE HERE