Kikosi cha Yanga kimeelekea mkoani Morogoro tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sgar ambao utapigwa keshokutwa Jumatano huko Gairo
Mchezo huo ni moja ya michezo miwili iliyobaki kukamilisha msimu huu , mchezo wa mwisho ukitarajiwa kupigwa mkoani Iringa Jumapili ijayo dhidi ya Lipuli Fc
Yanga inahitaji kupata matokeo mazuri katika michezo hiyo ili angalau kumaliza kwenye nafasi ya pili kwenye msimu huu ambao haukuwa na matokeo mazuri kwao
ADVERTISE HERE