Simba inarejea kuandaa 'dozi' ya Kaizer Chiefs

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 May 2021
Simba inarejea kuandaa 'dozi' ya Kaizer Chiefs

Mabingwa wa nchi Simba wanarejea nchini leo wakitokea Afrika Kusini ambako juzi walicheza mechi ya mkondo wa kwanza robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa baran Afrika

Wababe hao wa soka nchini watakuwa na siku nne za kukamilisha maandalizi ya mchezo wa marudiano dhidi ya Kaizer Chiefs ambao utapigwa Jumamosi, May 22 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Simba inahitaji kupata ushindi wa angalau mabao 5-0 ili kuweze kutinga nusu fainali

Hakuna lisilowezekana kwenye mpira wa miguu, Simba imepania kupindua meza kibabe Jumamosi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’