Simba Queens wapokea basi jipya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 May 2021
Simba Queens wapokea basi jipya

Klabu ya Simba Queens hii leo imekabidhiwa basi jipya aina ya Costa kwa ajili ya safari zake za ndani na nje ya mkoa

Halfa ya kukabidhi basi hilo limefanyika katika ofisi za Africarries zilizopo Vingunguti jijini Dar es Salaam na ndo waliotoa hilo basi

Mkuu wa kitengo cha sheria cha Africarries Ngassa Mboje amesema wameamua kulitoa basi hilo ikiwa ni sehemu ya kudumisha ushirikiano na klabu hiyo

"Huu ni mwanzo mzuri wa ushirikiano wetu baina yetu na Simba Queens pamoja na mlezi wa Simba Queens Fatema Dewji ikiwa ni kama sehemu ya juhudi ya kuwaunga mkono na kuwapa nguvu wanawake,". Alisema Ngassa

Mlezi wa Simba Queens Fatema Dewji alizungumza baada ya kukabidhiwa basi hilo alisema;

"Japo udhamini umekuja ukingoni mwa msimu, nina imani itakuwa chachu ya kukutea ubingwa wetu na utaendelea hadi msimu ujao kwani mchango kama huu ni chachu kwenye soka la wanawake"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’