Namungo yatangulia fainali kombe la FA

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Jul 2020
Namungo yatangulia fainali kombe la FA

Namungo imekata tiketi ya kucheza fainali ya michuano ya kombe la FA (ASFC) baada ya kuifunga Sahare All Stars bao 1-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Mkwakwani

Bao pekee la Namungo lilifungwa na Edward Charles Manyama kwenye dakika ya 80

Namungo sasa inamsubiri mshindi wa mchezo kati ya Simba dhidi ya Yanga ambao utapigwa kesho Jumapili kwenye uwanja wa Taifa

Bingwa wa michuano hii atapata nafasi ya kushiriki michuano ya kombe la Shirikisho la CAF barani Afrika

Kwa upande wa Simba wao tayari wamekata tiketi ya kushiriki michuano ya ligi ya mabingwa baada ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu hivyo kama watapata ushindi dhidi ya Yanga, moja kwa moja Namungo watashiriki michuano hiyo bila ya kujali matokeo ya mchezo wa fainali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’