Keki ya Birthday ya Mo italiwa kwa Mkapa leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 May 2021
Keki ya Birthday ya Mo italiwa kwa Mkapa leo

Mwekezaji na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' leo ni kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa

Yanga wana bahati mbaya kweli kwani siku hii wanakwenda kukutana na Mnyama pale dimba la Benjamin Mkapa katika mchezo wa ligi kuu

Hakuna ambacho wachezaji wa Simba wanakifikiria zaidi ya kumzawadia 'Boss Mo' ushindi mnono

Kwani furaha ya Birthday haitakuwa nzuri kwa bosi kama Simba haitaondoka na ushindi dhidi ya Yanga

Mo sio kuwa ni mwekezaji na kiongozi wa Simba tu, Bilionea huyu ni shabiki 'lialia' wa Simba

Heri ya siku ya kuzaliwa kwake na bila shaka itanogeshwa na ushindi mnono jioni ya leo!

HAPPY BIRTHDAY MO...!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’