Siku 100 za Gomes Msimbazi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 May 2021
Siku 100 za Gomes Msimbazi

Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes ametimiza siku 100 tangu ajiunge na mabingwa hao wa nchi

Unaweza kusema ni siku 100 za mafanikio kwa kocha huyo raia wa Ufaransa

Ndani ya muda huo ameiongoza Simba katika jumla ya michezo 20, akishinda michezo 15 na kutoka sare michezo minne

Simba yake imepoteza mchezo mmoja tu dhidi ya Al Ahly katika michuano ya ligi ya mabingwa

Kikosi kimefunga mabao 39 na kuruhusu mabao tisa tu

Mchezo wake wa 21 ni Jumamosi hii May 08 dhidi ya Yanga ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’