Kila ushindi ni Milioni 20 - Kaduguda

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Apr 2021
Kila ushindi ni Milioni 20 - Kaduguda

Wachezaji wa Simba wamekusanya jumla ya Tsh Milioni 100 baada ya kushinda michezo mitano mfululizo ligi kuu ya Vodacom

Ushindi wa mabao 3-1 waliopata Simba dhidi ya Dodoma Jiji jana, ulikuwa wa tano mwezi huu April na hivyo kujihakikishia kitita hicho cha fedha

Mwina Kaduguda ambaye amewahi kuwa Kaimu Mwenyekiti wa Simba, amesema fedha hiyo ni ya sambusa za wachezaji tu

"Sisi kila mchezo tunaoshinda wachezaji wanapata Milioni 20, haijalishi tumefunga mabao mangapi. Hiyo ni hela ya kula sambusa tu," alitamba Kaduguda

Katika mwezi April Simba imecheza mechi saba, imeshinda sita na kupoteza mchezo mmoja wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly

Aidha pamoja na kukabiliwa na ratiba ngumu ya kucheza kila baada ya siku tatu kwenye ligi, Simba imeweza kushinda mechi zote tano na hivyo kurejea kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama 61

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’