Highlights, Dodoma Jiji walivyolewa pira biriani

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Apr 2021
Highlights, Dodoma Jiji walivyolewa pira biriani

Ushindi wa mabao 3-1 waliopata Simba dhidi ya Dodoma Jiji jana umewafanya wafikishe alama 51 na kujichimbia kileleni mwa msimamo wa ligi kwa tofauti ya alama nne

Bila ya kusahau, mechi mbili za viporo bado ziko mkononi

Dodoma Jiji walikomaa katika kipindi cha kwanza lakini baada ya mapumziko walishindwa kuhimili kasi ya Simba na kujikuta wakiruhusu mabao mawili

Chris Mugalu aliweka kambani mabao mawili wakati Luis Miquissone nae akiingia kambani mara moja

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’