Hatimaye mabingwa wamerejea katika nafasi yao baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Gwambina Fc katika mchezo uliopigwa uwanja wa Gwambina Complex
Bao la Mohammed Hussein liliihakikishia Simba kuondoka na alama zote tisa baada ya kushinda michezo yote mitatu kanda ya ziwa
Ushindi huo umeifanya Simba ifikishe alama 58 sasa ikikaa juu ya msimamo wa ligi
Kwa mara nyingine timu bora imeweza kuondoka na alama zote tatu. Ushindi ungekuwa mnono zaidi lakini mengine tuwaaachie waamuzi wenyewe
Safari ya ubingwa wa nne ndio imeanza hivyo...!
ADVERTISE HERE