Mapema tu uwanja wa Gwambina Complex ambao mchezo wa ligi kuu kati ya Gwambina dhidi ya Simba utapigwa jioni ya leo, mashabiki wameupendezesha
Mashabiki walianza kuingia uwanjani tangu saa tatu asubuhi, mpaka sasa 'mapengo' machache yanaweza kuonekana
Ni siku muhimu kwa mashabiki wa Simba hapo Misungwi kwani leo watashuhudia timu yao ikitandaza kandanda safi ikisaka matokeo muhimu ya ushindi ambayo yatawapeleka kileleni mwa msimamo wa ligi

ADVERTISE HERE